Home STREET 16- sitaireview.

STREET 16- sitaireview.

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

Manze nimechelewa , hii event iliwa kîndo one  week ago. ndo maana staki kuireview juu wo hudai after maîthaa stuff mingi hulost kwa mind, but ni lazima nitaje vitu kiasi.

Venue uliwanga g-mata though kuna wasee walitembea extra mile juu hawakua wanajua new safcom house …kueni rada! Niaje nyinyi .

Ticko zlikuwa bei poa, 250 si miiiingi. Hata kwa wasee huishi msoto … najua kadhaa wenye walibargain..kina Tonny, Hebu nisiwataje.

Sound, hizi ndo huitwa acoustics? Zliwa gwan pia.Though ile spika ya side ya left karibu na mlango iliwa inanidai eardrums.

Lakini hawa wasee walituvako ati ni poetic play + music. Okay, Kulikuwa na poetry na ngoma bt, the only semblance ya play ni ile stuff ya Abu Sense Na Amare Poeta . Then ya Namatsi na Elpoet. Sijasema hao wengine hawakuperform poa,ah ah! Niati nlikuja nkiexpect kitu unique then nikaona poetry performance ya kawa.

Sjataja ya Teardrops na Carol juu ilikaa kitu rushed over. Ile ya maLOL.

On that note, Carol aliwa na pieces noma sana but aliappear stage mara mooooost, sjui ama iliwa part ya script.Atleast alichange costume mara kadhaa.

Teardrops naye anapaswa kumadwa, hio ubrilliance si healthy. 

Hio band ya kina Luki, hio ndo spelling?, mko poa …endeleeni vivyo hivyo, naexpect kuwachecki tena, place ingine.

Viv, Viv unalaunch album when?? Uko level nyingine.

Amare, hio piece ya uuumm (we io ngoso Caribbean skumbuki huitwa aje)…iko dopest …tengeza vida.

Elpoet, pole picha zakooooo,ummm lights zliinterfere, unajua y.

That dance ya LaLiga ilikuwa gwan, though skugich ilikuwa inaingiana Aje na stuff yote. But iliwa amazing kuchecki majii physically challenged wanado vitu hua ngumu kwa wathii normal .

Audience iliwa poa, hapa najisifu!!!!

Hey, Halafu kuna stuff za Abu Zliwa X rated hehe nliona kaboy flani kakifidget 😉
.
Then Kimani!! Ukifeaturiwa kwa stuff ya wenyewe hupaswi kusteal show, sawa? Eeeh I hope tumeelewana, amazing performance all the same.

Nlikuwa nimedai stareview but inakaa ivo ndo nimedo.okay, ama Hauko hapo, hukumake impact, ama Sikukuona ukiperform …ama wewe ndo mimi ;-).

Great show all together, next time Namatsi, El, tunadai nyingine … n next time, mueke shonde zenu pamoja, put you Shit together. I’m out!

Picha zlichukuliwa na simu, bado hatujaosa tuanze kutumia maCanon.

Julz, wapi drink Yangu?

courtesy of Storyzetu

0 Responses

  1. masido says:

    nice! makes me wish i was there! about the photos, i have a good camera. invite me to your events next time huh?i love attending events and taking photos too. it will be more like killing two birds with the same stone eh?

    1. storyzetu says:

      Hehe you just got yourself a job as the official photographer.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email

Hello

Subscribe to our newsletter