Home STORY YA MTAA

STORY YA MTAA

Hii ni story ya mtaa,
story ya venye si hukaa,
si hua na matime poa
Lakini zile mingi ni mbaya mbaya.
Kuna time mtaani si huona kivumbi
nikaa stress zote kwako ndo zimepiga
kambi.
hakuna wode, hakuna stima nguo ziko
shabby,
Umesotewa mtu yangu wallet inatoa
vumbi,
huna doh ya kunyolewa so nywele iko
shaggy,
Kiatu haiwezi kumbuka last time iliona
rangi.
Ushaifeel nikaa January hua kila
mwezi?
na unahustle daily siati we ni mlazy,
Lakini kusema kwenye pesa yako
Huenda joh huwezi,
Hadi unashuku mifuko yako inaeza
kuwa na wezi.
Na bado unaonanga watu wana
vitambi tao,
eih! Kwani hawa watu hutoa wapi
pesa yao?
ju we ukiskia jina landlord we ndo
huyooo!!
hutaki akupate nje ya dirisha
mbiooo!!!
mwezi ya tatu hujalipa rent na huna
kisingizio
Ukipita watoto kwa street unawish
ungekuwa mmoja wao
ukiprovidiwa breakfast,lunch na chajio
coz huwezi kumbuka last time kuonja
pilau,
eh! Kuku unaona tu kenchic, na ile
advert ya Yu.
Mtaani skuhizi hakuna mtu anafford
unga,
ona bei ya mafuta pia venye
imepanda,
Hadi wezi siku hizi tunachoma na
makaa
ju huwezi… huwezi vumilia kuwaste
tayaa.
Ooooh, na sikushow hii stuff
unihurumie,
nataka upindukie mtaa yenu uiangalie
Halafu ujiulize nini Unaeza ifanyia

© Ngartia

courtesy of Storyzetu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email