Home Shoes ni necessity-(a sheng’ piece)

Shoes ni necessity-(a sheng’ piece)

 

Shoes are a necessity. Kwa wengine ni accessory. It’s like a necklace to them.lazima imatch na nguo unless unataka achekwe. Ndio maana unaona dame kavaa kiatu open na anapitia kwa matope ili akae mrembo. Hajui anaonyesha watu IQ level yake.labda hiyo ndio watu huita common sense juu hautapata dame amevaa gumboots with a common dress Ilhali barabara yao ni a common mess Yaani matope na mashimo kila place.

Still on the matter of shoes especially akala. Watu huzichagua for different reasons. Kwa Mtu ‘economical’ akala ni kama Safaricom kwake Yaani better option but kwa mwenye anataka comfort akala ni kama Safaricom kwa maskini ‘bitter option’.

credits : http://farm5.staticflickr.com/4135/4867657767_3060c74d3f_z.jpg

They say that ‘your shoes speak a lot about you’ well then zangu zimeteta mpaka kwa watu wa viatu rights ati Huwa siwapaki rangi na nikifanya hivyo naweka overdose. Enyewe too much of everything is poisonous labda ndio sababu Huwa zinacheka kila time. I think nimepaka rangi mpaka zikacheka 24/7. Kama huelewi picture vile sura yako hukaa saa zile uko intoxicated.

Lakini bado in terms of shoes, kuna market Iko ignored na shoe makers. Mbona hawajatengeza kiatu special ya watu wenye stinky legs? Waweke perfumes ama leg cleaning formula ndani. Viatu kama hizo zitakuwa zinanunuliwa sana kama Valentine’s gift. Wakitaka kuadvertise watumie ngoma ya stanky leg. Waonyeshe maceleb wakisema kwa red carpet ati ‘am wearing a STINKY LEG shoe by versace.’ Just a thought tu.

Mawazo yangu random yameisha but today kama unapenda Mtu, buy him/her a shoe. If not, toa shillings kadhaa ashoneshe kiatu na kupata sole mpya aache kutembea na Sauti ya mawe ndani ya sole. Sawa? Blessed day basi.

photo credits : http://news.nationalgeographic.com/news/2006/11/images/061115-penguin-shoes_big.jpg

7 Responses

 1. Avalanch says:

  Kali sana,enyewe kwanza part ya gumboots jo.

 2. Ngartia says:

  hii ni personal aki!!!

  1. tonny muchui says:

   Jiite part of the motivation

 3. Ngartia says:

  hii ni personal aki!!!

  1. tonny muchui says:

   Jiite part of the motivation

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email

Hello

Subscribe to our newsletter