Home MORPHINE

MORPHINE

If every child husema babake ni hero,
then mbona chances za mabuda kudefend daughters wao zimekuwa ni zero,
if wanyama hawajawai jua what the abuse of young one entails,
it shows vile humans wako worse than animals chenye wanalack ni long ears and tails.
Real men ni wenye wanajua kuimba lullaby to their daughters hadi wafall asleep,
si wenye wanasleep with them.
Maria yuko kwa nyumba na the only thing anaskia ni footsteps za passersby’s,
zikifade away  na dignity yake kama the last stanza ya lullabies,
alikuwa banged na gang na sai ni kama tumbo yake iko full but not with butterflies.
Soon atakuwa mother na mtoi mwenye ako kwa tumbo yake ni cocktail ya wanaume kadhaa,

Sasa anaworry mtoi akigrow atamwambia ni nani babake.

Mtoi atatoka handsome ndio, but atakuwa reminder ya pain,
Maria anacatwalk kwa a dark  tunnel ‘cause  saa hizi yeye ni firefly,
Maria alikuwa flower but walimtoa all her petals, na kumnyang’anya her pistil na sasa chenye anaface ni stigma,
shame yenye anafeel ni mzito ni kama  amemeza ratili yote  pamoja na scales,
chenye inagrow kwa tumbo yake inafeel ni kama alimeza fish mbichi ikiwa bado na scales,
anameza mate but mate yake inataste ni kama quinine,
anasmile but iyo smile si genuine,
ni a painful smile but shame yake iko hidden underneath kama magoti ya penguin.
Maria huoga na kila detergent but anafeel like none of them inawash away her stain.
Maria amejaribu kumeza kila painkiller, but sio kila pain killer hukill kila pain.
Popote yeye hutambea anafeel ashamed ni kama ulimwengu mzima ishawai mwona akiwa uchi,
anawish kama kungekuwa na uwezo that cloth line ya Gucci,
ingecombine na jua-kali na watengenezee kila mwanamke panty ya chuma kama ile ya Robocop ndio waprotect their dignity.
Anawish kama God, angekuwa amecreate mwanamke na panty zenye ziko na security code if that ingekuwa the only way to secure their virginity.
Maria hukuwa silent but her silence huspeak volumes more than radio million moja zenye zimeashwa at the same time na full volume.
Silence yake ni expensive ‘cause ni invoice.
Yeye hushinda kama amejicurse but kama ni a curseword ndio her password to happiness na freedom ya kujiexpress,
then nataka kumfunza kucurse na words zenye zitawaingiza baridi hadi ziwache ulimwengu mzima na mist,
nataka kumfunza kucurse na words zenye zinaeza choma maskio ya priest,
nataka kumfunza kucurse na words na words zenye zitacastrate hao maboyfriend, mababa na wanaume wenye wana roho za beasts,
nataka kumtoa out of the silence na nimfunze kuspeak!

So speak baby, speak!

‘Cause chenye iko behind your voice iko so powerful than the shout zenye ziliangusha wall ya Jericho,
Speak baby, speak! ‘Cause chenye iko kwa words iko na static zaidi ya energy hutoka kwa nywele na jerry-comb.
Speak ‘cause ukinguruma jungle mzima inakuwa silent na ata simba inaweza kunja mkia na kuiweka katikati ya miguu,
Speak ‘cause ndani yako uko na a lot of fury yenye ukipanua mdomo hauna tafauti na dragon ‘cause words zako zinaignite flames za hope.
Speak ‘cause your voice ndio mouth piece a million women wenye wanakufa ndani kwa ndani na pain.
Speak ‘cause your smile inaweza dissolve kila teardrop.
Speak now wewe ni conqueror umeconquer pain; wewe ni morphine.
Na sasa your fears, shame, agony na sorrow umeziweka kwa coffin!
This is a fight, a battle, a war!
None of our daughter will, again, be called, a bitch or a whore.

@Tear Drops

6 Responses

  1. gerald says:

    teardrops really nailed it. That diction brought out the real feeling of a paged lady… you exposed the inner feelings of that character. that is commendable. keep it up

  2. Ronnie prince says:

    Have i ever said tha i got my poetry inspiration from tear drops?????
    if i havent then i just did……
    uv nailed it like the calvary nails….

  3. Alpha says:

    You have spoken.for the voiceless. You will forever b my greatest poet.. unaenda far mtu wangu…morale

  4. Robinson Aliero says:

    Great Masterpiece Tear drops!!Morphine is dope!

  5. faith says:

    this is it….Th piece speaks for itself and no one can ignore its voice…

  6. TRACIE says:

    My first time reading a poem or rather spoken word from a Kenyan artist. I hope your work gets the recognition it deserves. You are a “hero”. No word is fit to describe the above poem. Bravo! Am a fan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email