Home DEAR MAIKO

DEAR MAIKO

Dear bwana Maiko makanika
Hii ni E-mail yangu ya kwanza
kuandika
imebidi ju calls zangu umedinda
kushika
I guess ni venye hujui hiyo namba
pia mi hufanya hivo, sijashtuka
Oh, pole, mi huwa na story mob sana
but acha niget to the point sasa_
Nataka tu kukuthank ju ya jana.
Checki, Joe amekuwa akinilenga sana
Imagine hata bedroom alihama bana
ye huja kwangu tu baridi ikizidiana …
Jana hata hata nilimforce
ku ..ku.. kufanya
Ju skuizi hana psyche, I guess
anahanya.
Nikaperuse contacts zake, Nione nani
alimsanya
Usimshow pliz, atazusha ju alinikanya
anyway, nliona kila number kwa
phone book naijua
ispokua yako na “Shiro dawa ya
mende na panya “
Haiwess kuwa huyo mh! We
ungemhanya?
then ukamkol venye tuna …venye
adults hufanya
mkabonga kiasi, sijui venye
mliambiana
Aki akaget overdrive, nikaa ulimfix
Turbo charger
Ilikuwa nare, leo hata kutembea ni
shida
nikashangaa ni ni umemshow, ni
promo ameshinda?
then ikanihit, si we ni makanika!!!
ni gari unaorganise ..hahaaa
nimekushika
aki I guess ni kunisurprise alikuwa
anataka,
Woiyeee hiyo ni sweeeet, hata… no
wonder ..
Messo zako nayeye Ziuwa locked.
Haziwezi someka
Ni messo za m-pesa!
na hii time ye huja usiku ni gari
mnatafutanga yenyewe anataka?
bytha thanks ju we hukol kujua ama
amefika …
We Baadaye, tukipatana ki beer
Ntakushika_
…Eeeh na si manzi yako unampenda
manze,
mpaka email yako ni jina yake!!
Bye, na usiambie Joe ulicontactiwa na
wife wake …

courtesy of Storyzetu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email

Hello

Subscribe to our newsletter