Home BLACK PARADISE

BLACK PARADISE

Ni culture yetu imekufa na umevaa bikini unasmile kwa mazishi?
Mutura kwa mtoto wa ghetto ni dishi,
kwa mdomo ya mzungu ni fear factor,
Yenye akimanage kula ako na Grammy ya the best actor.

Ni internet na media zilimess up na culture zetu
Na kufanya madame kuwa anti ugali sukuma coz wanataka hamburger na pizza
so kabla uende bwana Rannenberger skiza.

Si U.S ilifanya tujue ati kachumbari ni mbichi na imeiva

Daily gava inazidi kupurchase guns in exchange of our heritage
daily hao wanazidi kukill our mighty culture

Sufuria na magas cooker zimeget rid of our cooking pots
Na zikatuacha na ma-airport.
I’m sorry to say, but I’m living in a Kenya made in China
Na thika road ni proof.

Si walihepa Pharaoh, wakasema ati hatutarudi tena misri,
but hao hurudi na excuse za pyramid na mwili ya Pharaoh coz it’s a great mystery?

Kuna tofauti kubwa kati ya udaku, pang’ang’a na uhondo.
Mzungu ukistaajabu ya Serengeti utayaona ya Loliondo
na ukitaka kunipea history ya Samson, nitakwambia mi niliishi na Lwanda Magere.
na hata before nijue kuna cauliflower, Kulikuwa na terere.
Wanaogopa origin, wanafeel shy, wanasema hi, badala ya Atîrîrî.

Ndio ohangla iskike kwa Nchi yake lazima ufuse beat ya hiphop na nyatiti
Naishi kwa generation ya watoi wananyonya cancer direct kwa matiti.

PS zimetake over Ajua, Kaati na Duf Mpararo
Watoi wamesahau Kalongo, chobo na ngoto
wako obese coz wako addicted na T.V
Generation imesahau  isukuti wanabanjuka bend over na salsa hadi kwa mulembe night

The predator imegeuka prey kwa mkono ya preacher
Ama hallelujah kwa mdomo ya scavenger
can’t stand kuona our dear dead black culture,
Being fed on the white vulture.

Waneglect culture Ya waluhya
wakaembrace TV na so many Halleluyahs!
madame wanakula na surgical gloves coz cutex inaacha ugali na harufu ya turpentine
turudisheni hizo time Zenye everyday ilikuwa valentine
Turudini kwa hizo days
za the traditional ways
kama communication zilikuwa smoke na horn
manze si hizi ma website kwa phone za porn .

Na tafadhalini mkienda majuu, kumbukeni Maiko yetu bado ni genge
na warembo mkizeeka msisahau vitenge
si kuvaa micromini mkiexpose mapaja zina wrinkle.

Africa was for dark people,
but it attracted white people.
let’s fly back to that land where women breast fed their kids without the fear of losing the shape of their bust
where we never exchanged services and goods but gave good services.

Let’s pack and go where prostitution, lesbianism and homosexuality was a bad omen
let’s pack and go to that land where children respected elders
let’s pack and go where men had natural six packs and biceps, needing no gym
where women needed no high heels
but felt like they were on mountains or high hills.
back to where girls grew into ladies,
Then mature women ,not big babies.
I am home sick, let’s pack and go back home,
Let’s fly back to Africa,
let’s go back to black paradise.

© Tear Drops

Storyzetu™ 2012

8 Responses

 1. Bugz says:

  Nice read, so original and well thought.

  1. storyzetu says:

   Thank you for reading Bugz. We’ll be sure to pass your compliments to the poet.

 2. nimelewa sana sinapakulala nipeleka kwetu mimi…..

  East, west, Africa’s best
  I miss your big sky and your hot sun
  and your sense of fun

  kwa heri

 3. savvy says:

  great read

  1. storyzetu says:

   Thank-you for passing around Savvy.

 4. Masido says:

  Iko juuest! Damn! I feel this! U almost made me dump my heels!i lyk!

  1. storyzetu says:

   Hehe feel free to chuck em heels,

 5. mmnjug says:

  Interesting………..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our newsletter

Click Subscribe to get our latest news and stories straight to your email

Hello

Subscribe to our newsletter