How come ukali wa aloe Vera iko among the sweet ingredients za beauty tips?
How come words chafu zinatoka kwa beautiful lips?
Lip gloss, lip balm na lipstick ziko enough kufunika njaa yako kwa public
Lakini sauti ya minyoo zikilalamika kwa tumbo, hazitawacha kusikika hata uvae nguo sound proof.
Lips hazina difference na walls za fort Jesus coz zote zimejiexpose kwa jua.
Love ya beauty na face ikisha break-up,
Jaribu proper diet coz haziezi kuwa reconciled na make-up.
We are God’s images
na vitu si huvaa husend out messages
Niko operation ya kumaliza uma-skinny.
Kuvaa buibui ama crucifix ilikuwa sign ya holiness
but crucifix zilitumika kufunika cleavage.
Si wangevaa buibui basi kama tumbo cut zimekataa kufunika upande wa nyuma wa toja coz chenye inashow ni sewage.
Fashion inatuconfuse ka band ya praise and worship inaongozwa na Osama bin Laden.
Wamesahau culture, street zetu ni garden of Eden.
Ni culture ya mabushman pekee ilikuwa imealegalize mwafrika kutembea na thong.
Hot pants ni za wenye hukimbia Marathon.
Beauty-fool-we-men, huwa haiongei ukweli “it lies”
Si mbali, just in the beholder’s eyes.
Kioo zinawadanganya coz zinaonyesha maimage za left
kwa hii galaxy ya fashion,
binadamu wanamistake fantasy na na fashion.
Marry dame m-ugly ukue happy man in future.
hata cleavage zikuwe kubwa ka river between,
Nitacross the bridge.
I’ll marry when I want ki Ngugi Wa Thiong’o
ju hakuna dame Mwenye ako ready kuitwa ong’ong’o
urembo ya nywele si Weave, uliza Lupita Nyong’o.
Ni beast hufanya Kenya kuwa most beautiful
warthog huwa hazivai high heels,
Wala hippopotamus kuapply lipstick but zinaattract tourist.
na ni wild beast hufanya wazungu wakam tour east.
Your beauty fools when haujui kuandika ukaamua kuvaa pencil
your beauty fools when umeamua kuvumilia though mixture za body odor, sprays na make Ups zinakupea ma hiccups.
After exam kila dame huwish kuwa na A -apples but wakishazeeka wanataka kumaintain their C-cups.
Boobs zinaogopa surgery coz cancer ni issue
so in the name of beauty nyuma ya bra quick answer ni tissue.
Vile uko we ni mrembo acha kujicompare na rainbow
unawish kufanya exploration
ni kama skeleton inadream ya kuget a layer of your dead skin ifanyiwe surgery.
kama black ni beauty mbona zile vitu Zenye zi hufanyika kwa darkness ni so ugly?
Kama ni uweupe mbona wanashinda na nice and lovely?
mbona mabuyu hutumbukizwa kwa food colour?
Kwa sight ya God si wote tuko equal coz tulizaliwa tukiwa uchi.
So ni kazi ya bure hata uzikwe na suti Gucci
Spiritually kama beauty ingekuwa make up na mavazi
Wakina Naomi Campbell wangekua macover girls kwa Bible na pair of bikinis
David Beckham akiwa front page ya new testament akiadvertise new beginnings.
Kwa process ya haja kubwa kila sura ni ugly
so kazi bure hata uingie washroom ka umejipaka Nice & Lovely.
True beauty huappear when kibogoyo anaweza kusmile,
ni viziwi, viwete na vipofu .
In short ni vilema wanajua the true meaning ya beauty
true beauty ni kuappreciate kazi ya Almighty.
So hata upreserve mwili for fashion show,
day zinaenda faster iko siku utaitwa shosho.
© Tear Drops
Storyzetu™ 2012
5 Responses
i beg to differ. i love fashion and heels and hot pants aren’t only for athletes and you know it.i lve make up too and its not an issue of kujicomprae na rainbow. like you say, we lve experimenting and i like looking different everyday. of course i agree that there are some people who take fashion a little to far but don’t generalize. i know in future tutakuwa mashosho but hey, when the sun shines on us, let us be vibrant like rainbow. why the hell not.
lovely
I love the piece and its message.
Reblogged this on Faithnyapara's Blog.
@Teardrops,,,this One Is A Bombshell,,,i Like This Line Ati Urembo Wa Nywele Si Weave,Uliza Lupita Nyong’o….That’s A Gud One